Friday, June 5, 2009

Mlimwengu

Nilikukosea tangu naota matiti,
Umejitweka mpaka nimekuwa maiti,

Kilio chako kisipaze sauti,
Kwa kuona yangu mauti,

Kunisamehe hudhubuti,
Maishani mwako umenipiga buti,

Lakini kwa Mungu madhubuti,
Ila kwako kizungumkuti.

No comments:

Post a Comment

Labels

poetry (10)