Friday, June 5, 2009

MASHAIRI NILIYASIKIA KWA MAMA SHAMBA

Juma wenda shamba,
Zawadi ziwapi?
Nisalimia Hafidhi na mama na mke wangu,
Kufungwa miaka mithano,
Ndio majaaliwa yangu,

Zeze lalia,
Mwakilingo kamwambia Marere,
Hii ndio hali ya dunia,
Zeze lalia, Zeze,
Kilingeni hakulii zeze,
Lakini mwaka huu litalia,

Kilichompata ngwena na kiboko yumo,
Ukithaka koti kubwa, mkamba na Selemani,
Perera peana uwanja,
Kwaja warembo wa shani.

No comments:

Post a Comment

Labels

poetry (10)